ON POINT MEDIA

ON POINT MEDIA
Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU

Thursday, 9 February 2017

UZINDUZI WA MAUZO YA NYUMBA KATIKA MRADI WA IYUMBU SATELLITE CENTRE DODOMA

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii NHC, Susan Omari akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu Nehemia Mchechu katika Mkutano na Wandishi wa habari

 Mkurugenzi Mkuu Nehemia Mchechu akizugumza na Wandishi wa Habari katika uzinduzi wa mauzo ya mradi wa Iyumbu Satellite Center

Wandishi wa Habari wakifatilia tukio kwa makini katika uzinduzi wa mauzo ya mradi wa Iyumbu Satellite Center


Monday, 6 February 2017

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI MH. WILLIAM LUKUVI NA NAIBU WAZIRI MH. ANGELINA MABULA KATIKA MRADI WA IYUMBU DODOMA



 Mradi wa Iyumbu Satellite Center 

Mradi wa Iyumbu Satellite Center


Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akimpokea  Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. William Lukuvi alipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017


 Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. William Lukuvi Walipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017


 Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akimkalibisha Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Angelina Mabula  alipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Angelina Mabula akiangalia moja ya Nyumba katika  Mradi wa Iyumbu