Mradi wa Iyumbu Satellite Center
Mradi wa Iyumbu Satellite Center
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akimpokea Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. William Lukuvi alipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. William Lukuvi Walipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Kyando Mchechu akimkalibisha Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Angelina Mabula alipotembelea Mradi wa #Iyumbu Tarehe 04/02/2017
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Angelina Mabula akiangalia moja ya Nyumba katika Mradi wa Iyumbu
No comments:
Post a Comment