ON POINT MEDIA

ON POINT MEDIA
Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU

Friday, 22 September 2017

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA NHC MAMA BLANDINA NYONI ATOA SOMO KWA MAMENEJA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Joseph Nyoni akizungumza na mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa (hawapo pichani) waliomaliza mwaka wa kwanza katika mafunzo ya wiki moja katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. Katika mkutano huo Mwenyekiti alihimiza kasi katika utendaji kazi, ubunifu wa mbinu za kazi na mahusiano mema kazini.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi na Mwezeshaji wa mafunzo, Dk Anna Mwasumbi akitoa mada kwa mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mwaka wa kwanza katika mafunzo ya wiki moja katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi.
   Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.
  Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.
   Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.
Mwezeshaji wa mafunzo, Dk Anna Mwasumbi akitoa mada kwa mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mwaka wa kwanza katika mafunzo ya wiki moja katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 

  Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.
Nje ya jengo la Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC PLACE) ambapo Kituo hicho  cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi kimo ndani yake.
 Mwezeshaji wa mafunzo, Sultani Mundeme akitoa mada kwa mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa waliomaliza mwaka wa kwanza katika mafunzo ya wiki moja katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Mafunzo ya Uongozi. 
  Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.
   Mameneja wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mafunzo katika Kituo cha Shirika la Nyumba la Taifa cha Mafunzo ya Uongozi.

BODI YA WAKURUGEZI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA ZANZIBAR YATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC.

 Bodi ya Wakurugenzi kutoka Shirika la Nyumba la Zanzibar, wakipata maelezo kutoka kwa wakurugenzi wa Shirika la nyumba la Taifa.wa namna mfumo  wa Shirika la nyumba la Taifa ulivyo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NHC. Blandina Nyoni akitoa Neno la ukaribisho kwa Bodi ya Shirika la Nyumba Zanzibar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Zanzibar Ndg Mtoro Almas, akiwakilisha kusudio lao la ziara yao katika Shirika la Nyumba la Taifa NHC.

 Mkurugenzi wa Ubunifu,  Issack Peter akiwasilisha Maada ya namna Shirika la Nyumba la Taifa linavyofanya kazi zake za ujenzi kwa mafanikio na weledi



 Nehemia Mchechu Mkurugenzi Mkuu  wa Shirika la Nyumba la Taifa akieleza namna anavyoliongoza shirika kwa Mafanikio kwa kushirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa.

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii Susan Omari yeye aliongelea Maadili yetu 6 tuliyojiwekea kama Shirika ambayo ni Uadilifu,Uwazi,Ubunifu,ufanisi,ushilikiano na Weledi.pamoja na  mahusiano yetu kwa Umma.

Raymond Mdolwa Mkurugenzi wa Opalesheni na Usimamizi wa Mikoa, akiongelea Mfumo wa usimamizi wa Nyumba za kupangishwa na utambunzi wa Nyumba hizo pamoja na usimamizi wa lasirimali zote za Shirika la Nyumba la Taifa.

 Felix Maagi Mkurugenzi Wa Fedha Akieleza namna Shirika la nyumba linanvyojiendesha kifedha na   upatikanaji wa fedha za ujenzi wa miladi mbalimbali.


Mradi wa Nyumba za Makazi na Biashara wa Victoria Plance.



 Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Zanzibar wakifurahia jambo walipokuwa wakipewa maelezo ya mradi na wasimamizi wa mradi huo wa Victoria Plance .


 Hapa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Zanzibar, wakiwasili katika Mradi wa Morocco Square







Saturday, 9 September 2017

WAZIRI LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC CHATO




Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiwasili eneo la mradi wa Nyumba za NHC Chato. Mradi una Nyumba 20 zenye Nyumba vitatu kila moja.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akimzawadia Mchenza Ngoma ya Kisukuma katika hafla hiyo ya Ufunguzi wa Nyumba 20 wilayani Chato





 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu akiwahutubia wananchi wakati wa Uzinduzi.

 Waziri Lukuvi akishereheka kwa pamoja na wananchi wa Chato alipowasili eneo la mradi.

 Waziri Lukuvi akifungua kitambaa kwenye Jiwe la Msingi kuashilia ufunguzi wa Mradi wa Nyumba 20 zilizojengwa na NHC  Wilayani chato.
 Waziri Lukuvi akikata utepe katika moja ya nyumba 20 zilizongwa na NHC Wilayani Chato. 




 Mradi wa Nyumba za NHC Chato. Mradi una Nyumba 20 zenye Nyumba vitatu kila moja













Monday, 24 July 2017

MH. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA NYUMBA ZA WATUMISHI WA WILIYA MOMBA MKOA WA SONGWE ZILIZOJENGWA NA NHC



 Mkurugenzi Mkuu  wa NHC Nehemia Mchechu Akimkaribisha Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa katika mradi wa nyumba 20 Momba

 Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa NHC mkoa Mbeya Juma Kiaramba

  Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamais Susan Omari