Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiwasili eneo la mradi wa Nyumba za NHC Chato. Mradi una Nyumba 20 zenye Nyumba vitatu kila moja.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu akiwahutubia wananchi wakati wa Uzinduzi.
Waziri Lukuvi akishereheka kwa pamoja na wananchi wa Chato alipowasili eneo la mradi.
Waziri Lukuvi akifungua kitambaa kwenye Jiwe la Msingi kuashilia ufunguzi wa Mradi wa Nyumba 20 zilizojengwa na NHC Wilayani chato.
Waziri Lukuvi akikata utepe katika moja ya nyumba 20 zilizongwa na NHC Wilayani Chato.
Mradi wa Nyumba za NHC Chato. Mradi una Nyumba 20 zenye Nyumba vitatu kila moja
No comments:
Post a Comment