Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NHC. Blandina Nyoni akitoa Neno la ukaribisho kwa Bodi ya Shirika la Nyumba Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Zanzibar Ndg Mtoro Almas, akiwakilisha kusudio lao la ziara yao katika Shirika la Nyumba la Taifa NHC.
Nehemia Mchechu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa akieleza namna anavyoliongoza shirika kwa Mafanikio kwa kushirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii Susan Omari yeye aliongelea Maadili yetu 6 tuliyojiwekea kama Shirika ambayo ni Uadilifu,Uwazi,Ubunifu,ufanisi,ushilikiano na Weledi.pamoja na mahusiano yetu kwa Umma.
Raymond Mdolwa Mkurugenzi wa Opalesheni na Usimamizi wa Mikoa, akiongelea Mfumo wa usimamizi wa Nyumba za kupangishwa na utambunzi wa Nyumba hizo pamoja na usimamizi wa lasirimali zote za Shirika la Nyumba la Taifa.
Mradi wa Nyumba za Makazi na Biashara wa Victoria Plance.
Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Zanzibar wakifurahia jambo walipokuwa wakipewa maelezo ya mradi na wasimamizi wa mradi huo wa Victoria Plance .
Hapa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Zanzibar, wakiwasili katika Mradi wa Morocco Square
No comments:
Post a Comment