ON POINT MEDIA

ON POINT MEDIA
Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU

Monday, 24 July 2017

MH. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA NYUMBA ZA WATUMISHI WA WILIYA MOMBA MKOA WA SONGWE ZILIZOJENGWA NA NHC



 Mkurugenzi Mkuu  wa NHC Nehemia Mchechu Akimkaribisha Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa katika mradi wa nyumba 20 Momba

 Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa NHC mkoa Mbeya Juma Kiaramba

  Waziri Mkuu Mh. Majaliwa kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamais Susan Omari









Monday, 10 July 2017

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MH.WILLIAM LUKUVI ATEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akiongozana na Meneja Masoko Tuntufye Mwambusi  alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya  sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.

 Meneja Masoko Tuntufye Mwambusi  akimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya  sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.


 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akisini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya  sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.


Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa

Afisa Masoko Mwandamizi Emmanuel Lyimo akitoa maelezo ya mirada inayotekelezwa na Shirika la Nyumba

Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akitoa maelezo kwa Wananchi waliotembelea banda la NHC katika viwanja vya sabasaba


Friday, 7 July 2017

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NA BALOZI WA KENYA WATEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KATIKA VIWANJA NYA SABASABA



Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. Angelina Mabula akisini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya  sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.

Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akitoa maelezo kwa Mh. Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. alipotembelea banda la NHC.
    Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akimkaribisha Dr. Pindi Chana, Balozi wa Kenya alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya  sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.


 wananchi Mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Jonson, Afisa mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa