Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi akiongozana na Meneja Masoko Tuntufye Mwambusi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Meneja Masoko Tuntufye Mwambusi akimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. William Lukuvi alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa
Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akitoa maelezo kwa Wananchi waliotembelea banda la NHC katika viwanja vya sabasaba
No comments:
Post a Comment