Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. Mh. Angelina Mabula akisini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akitoa maelezo kwa Mh. Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi. alipotembelea banda la NHC.
Afisa Mauzo Mwandamizi Joseph Haule akimkaribisha Dr. Pindi Chana, Balozi wa Kenya alipotembelea Banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika maonesho ya 41 ya sabasaba viwanja vya Mwl. Nyerere.
wananchi Mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Jonson, Afisa mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa
No comments:
Post a Comment