Matembezi ya Hisani ya kilomita tano (5) ya Kusanyiko la Waliowahi kuhitimu na wanaokitakia mema Chuo Kikuu cha Ardhi yalifanyika tarehe 24/11/2018 (Jumamosi) matembezi yalianza saa kumi na mbili asubuhi kwenye jengo la utawala la Chuo Kikuu Ardhi hadi Container na Dispensary Chuo kikuu DSM na kurudi ARU Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) walishiriki kikamilifu wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulidi Banyani. mara baada ya matembezi hayo kulifanyika mazoezi ya viongo pamoja na michezo mbalimbali. Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulidi Banyani akatoa agizo kwa kitengo cha Utawara waandae mkakati utakao pelekea kila wiki ya mwisho wa mwezi kuwe utaratibu wa kufanaya mazoezi na matembezi ya namna hii na yatakuwa ni lazima kila mwezi mara moja na itaitishwa roll call ili kuhakikisha ushiriki na kuimarisha afya za wafanyakazi.
Mazoezi ni Afya, furaha na hujenga pia umoja.
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakiwa katika Matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakiwa katika Matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakiwa katika Matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakiwa katika Matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakifanya mazoezi ya viungo mara baada ya matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakifanya mazoezi ya viungo mara baada ya matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakifanya mazoezi ya viungo mara baada ya matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi
Wadau mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa NHC wakifanya mazoezi ya viungo mara baada ya matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka katikati Mwenyekiti wa Bodi Dkt Sophia Kongela, Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulidi Banyani, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa NHC walioshiriki katika matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Shindano la kuvuta kamba kati ya NHC na wadau wa Chuo kikuu Ardhi katika shindano Chuo kikuu Ardhi walishinda.
Shindano la Mbio mita 100 umri kuazia 40 - 60 ambapo Ndgu Sam Metili wa NHC alishinda akifatiwa na Albinus Simba
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulidi Banyani pia alishiliki mbio hizo
upande wa kinadada mbio mita 100 alishinda Allana Ngonyani akifatiwa na Mwasiti Jimmy wote kutoka NHC
Shindano la kula Apple
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulidi Banyani akipokea Kombe la Mshiriki bora wa matembezi ya hisani ya kilomita tano ya kusanyiko la waliowahi kuhitimu Chuo Kikuu Ardhi.
Kikosi cha Ushindi
No comments:
Post a Comment