katika ziara hiyo, Mhe Jokate ameliomba Shirika la Nyumba la Taifa waingie makubaliano ya kuwajengea Nyumba kwa ajili ya
wafanyakazi wa Wilaya hiyo ya Kisarawe kwani kumekuwa na changamoto ya makazi kwa watumishi wa wilaya ya kisarawe.
Pia ameliomba Shirika la Nyumba la Taifa kwenda katika wilaya ya kisarawe kuangalia maeneo ambayo shirika linaweza kuwekeza katika Majengo ya biashara.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Dkt. Maulidi Banyani.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC.
Mhe. Jokate Mwegelo Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, akiondoka katika Jengo la Kambarage House Makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa.
No comments:
Post a Comment