Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Naibu wake Dkt. Angeline Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC Dk. Sophia Kongela wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani wa tatu kulia.
Wednesday, 31 October 2018
WAZIRI LUKUVI NA NAIBU WAKE WAKUTANA NA MKURUGENZI MKUU NHC PAMOJA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA NHC
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimkabidhi ripoti Mapitio ya Muundo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC Dk Sphia Kongela leo jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Naibu wake Dkt. Angeline Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC Dk. Sophia Kongela wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani wa tatu kulia.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akifurahia jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Dk. Maulid Banyani wa kwanza kulia, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC Dk Sophia Kongela wa pili kulia walipokuenda kujitambulisha ofisini kwake Dodoma, wengine kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi Dk Angeline Mabula na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Naibu wake Dkt. Angeline Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC Dk. Sophia Kongela wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani wa tatu kulia.
Sunday, 28 October 2018
WAZIRI LUKUVI ALITAKA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC KUWA MFANO KATIKA KUSIMAMIA NYUMBA ZAKE
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za shirka la nyumba mkoa wa kilimanjaro
Meneja wa shirika la nyumba mkoa wa Kilimanjaro Juma Kiaramba akisoma taarifa ya mkoa kwa w Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Kilimanjaro
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Kilimanjaro akisoma taarifa ya mkoa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akiongea na wafanyakazi wa Shirika la nyumba la Taifa mkoa wa Kilimanjaro
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi,akitoka katika ofisi za Shirika la Nyumba la Tiafa mara baada ya kufanya ziara
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi amelitaka shirika la nyumba la Taifa (NHC) liwe mfano katika ujenzi, kuhifadhi na kutunza nyumba zake pamoja na kujenga nyumba za gharama nafuu kwa wananchi.
Mhe Lukuvi alisema hayo alipotembelea ofisi za shirika hilo katika mkoa wa Kilimanjaro akiwa katika ziara ya kushughulikia migogoro ya ardhi katika wilaya za Hai, Moshi na Same.
Alisema NHC lazima iwe mfano kwa taasisi nyingine katika ujenzi wa nyumba bora na kuwapangisha wapangaji kwa kipindi cha mwezi mmoja mmoja badala ya utaratibu uliozoeleka wa kupangisha watu kwa kipindi cha miezi sita au mwaka mmoja sambamba na kuepuka vishoka katika upangishaji nyumba zake.
Aidha, amelitaka shirika la NHC kuwa na mkakati maalum wa kukarabati nyumba zake na kubainisha kuwa haiwezekani shirika kubwa kama hilo kuwa na nyumba nyingi katika vitovu vya miji lakini zikiwa zimechoka na kusisitiza kuwa asingependa kusikia shirika hilo linakuwa na nyumba mbovu.
Amelitaka shirika la nyumba la taifa kujipanga vizuri na kuhakikisha linashirikiana na halmashauri zote nchini kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi pamoja na kujitangaza katika shughuli zake kwa kuwa lina kampuni imara ya ujenzi yenye wataalanu na inayoweza kujenga majengo mbalimbali kama vile shule,hospitali, vituo vya afya, vituo vya afya, vyuo na majengo ya watu binafsi.
Lukuvi amelitaka shirika kuimarisha kitengo cha huduma kwa wateja na kutembelea wateja kwa lengo la kujua matatizo ya wapangaji katika nyumba zao ili kutatua kero zao.
Kwa upande wake Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Bw......alimueleza Lukuvi kuwa Shirika lake limekuwa na ushirikiano na halmashauri katika mkoa huo na tayari wameshaanza majadiliano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi kujenga jumla ya nyumba ishirini na tano.
Wednesday, 17 October 2018
KIKAO CHA KAIMU MKURUGENZI MKUU NA WAFANAYAKAZI WA KITENGO CHA MANUNUZI NHC
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Félix Maagi akisisitiza jambo wakati wa kikao hicho na wanyakazi wa kurugenzi ya manunuzi.
Thursday, 4 October 2018
KAIMU MKURUGENZI AAGIZA MATENGENEZO YA NYUMBA ZA SHIRIKA KUPEWA KIPAUMBELE, UMAKINI
Wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu maelekezo ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi aliyezungumza nao kwenye mkutano wa kawaida na Mkurugenzi kuhusu masuala mbalimbali ya matengenezo na uendeshaji wa shughuli mbalimbali za kiofisi mikoani. Mkutano huo unafanyika makao makuu ya Shirika Kambarage House.

Subscribe to:
Posts (Atom)