ON POINT MEDIA

ON POINT MEDIA
Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU

Wednesday, 31 October 2018

WAZIRI LUKUVI NA NAIBU WAKE WAKUTANA NA MKURUGENZI MKUU NHC PAMOJA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA NHC

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimkabidhi ripoti Mapitio ya Muundo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC Dk Sphia Kongela leo jijini Dodoma.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi na Naibu wake Dkt. Angeline Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC Dk. Sophia Kongela wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani wa tatu kulia.


 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akifurahia jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Dk. Maulid Banyani wa kwanza kulia, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC Dk Sophia Kongela wa pili kulia walipokuenda kujitambulisha ofisini kwake Dodoma, wengine kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi Dk Angeline Mabula na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika.

No comments:

Post a Comment