Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akisaini kitabu cha wangeni ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh. Joseph Mkirikiti
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh. Joseph Mkirikiti akiongea na viongozi wa Shirika la nyumba waliofanya ziara katika wilaya hiyo kwa leongo la kutaka kujenga nyumba za makazi na biashara
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh. Joseph Mkirikiti na Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu pamoja na Meneja wa NHC Lindi Ndg. Patrick kamendu wakifurahia jambo nje ya ofisi ya Mkuu wa wilaya.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiongea jambo walipotembelea nyumba za NHC Ruangwa
Nyumba za NHC zilizopangishwa kwa watumishi wa Halimashauri ya Ruangwa
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh. Joseph Mkirikiti aliwakalibisha wageni wake wa NHC kwenye Ikulu Ndogo ya Wilaya ya Ruangwa
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu na Meneja wa Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu NHC Bw. Muungano Saguya wakielekea kuona moja ya eneo lilonunuliwa kw ajillo ya ujenzi wa nyumba wilayani Ruangwa
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akisaini kitabu cha wangeni alipotembelea Mradi wa Nyumba za Mtanda Lindi
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiangalia moja ya Nyumba zilizojengwa na NHC Mkoani Lindi
No comments:
Post a Comment