Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika
SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU
Monday, 4 July 2016
Mfuko wa Rais waomba Sh4 bilioni kujiendesha
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PTF, Haighat Kitala amesema tangu kuanzishwa kwake, mfuko huo una akiba ya Sh1.8 bilioni kama mtaji huku ukiwa unadai Sh600 milioni zilizokopeshwa. . Picha ya maktaba
Kwa ufupi
Kauli hiyo imetolewa leo na mwenyekiti mpya wa Bodi, Nattu Msuya akibainisha endapo watapewa fungu hilo, PTF itaweza kujitegemea badala ya kutegemea Serikali.
Tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo Oktoba 2015 hadi Juni 30, 2016 mfuko huo umeshakopesha vijana 114 na wanawake 399 Sh479 milioni.
No comments:
Post a Comment