ON POINT MEDIA

ON POINT MEDIA
Karibuni sana kwa kazi nzuri ya video za harusi mikutano na kadharika

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA

SHIRKA LA NYUMBA LA TAIFA
NYUMBA YANGU MAISHA YANGU

Monday, 4 July 2016

D’banj afunga ndoa kimya kimya, waalikwa walidhani wanaenda kwenye birthday party


Alipofanya mahojiano mwezi wa nne mwaka huu, D’banj aliapa kuwa akioa basi ndoa yange itafungwa kimya kimya kama ambavyo inadaiwa amefanya.
Staa huyo wa Nigeria amefunga na ndoa na mpenzi wake ambaye jina alijajulikana lakini ana asili ya Afrika kusini na Nigeria na anaishi Marekani jumamosi iliyopita, tarehe 2 ya mwezi July.
Taarifa hizo zimedai kuwa Koko Master aliwaalika wazazi wake na watu wengine 25 tu,  imedaiwa kuwa waalikwa wenyewe walijua ni birthday party.
Ama kweli siku hizi mambo ni kimya kimya.

No comments:

Post a Comment